Share

Sheria tata za uchaguzi : Kalonzo amtaka Rais Kenyatta azipinge

Share this:

Sheria tata za uchaguzi : Kalonzo amtaka Rais Kenyatta azipinge
 
Muungano wa upinzani unapanga kukutana na wakenya wote wanao pania kuwania nyadhifa za uongozi Jumatano ijayo katika ukumbi wa Bomas kujadili hatua watakayochukua baada ya bunge la seneti kupitisha mswada tata wa sheria za uchaguzi.
Kwenye kikao na wanahabari vinara wa CORD Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula wamesema Kenya inakodolea macho hatari ya wizi wa kura kwenye uchaguzi ujao na kuongezea kuwa hawako tayari kukaa kimya huku   sheria za uchaguzi zikihujumiwa.

Leave a Comment