Share

Serikali yatoa pesa za kufanikisha maandalizi ya Harambee Stars

Share this:

Ligi kuu ya kandanda humu nchini itaendelea kesho ambapo Mount Kenya United inayovuta mkia itachuana na Vihiga United ugani Kenyatta, Machakos nayo Kakamega Homeboyz itakuwa mwenyeji wa Mathare United uwanjani Bukhungu.

Leave a Comment