Share

Serikali yataka shule zaidi zisizokuwa na mabweni

Share this:

Katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang amesema kuwa serikali inapania kuongeza idadi ya shule zisizokuwa za mabweni ili kuwawezesha wazazi kuwa karibu na watoto wao. Kipsang amesema kuwa baadhi ya wazazi wamewatwika walimu majukumu yao na ndio maana visa vya utovu wa nidhamu vimeongezeka shuleni.

Leave a Comment