Share

Serikali ya Kwale yaondoa malipo ya biashara kwa siku 60

Share this:

Serikali ya kuanti ya Kwale imefutilia mbali ukusanyaji ushuru kwa wafanyibiashara wadogo wadogo. Ada nyingine pia zimeondolewa kwa muda wa siku 60 ili kuwapunguzia wafanyibiashara gharama ya maisha ikizingatiwa kuwa biashara zimeathiriwa na kuenea kwavirusi vya corona.

Leave a Comment