Share

Serikali ya Kisumu yakashifiwa kwa kushindwa kukabiliana na mikasa ya moto

Share this:

Kwa mujibu wa kamishna wa eneo la Nyanza, ni jambo la kutamausha kuona hasara kubwa iliyopatikana baada ya maduka mawili ya kuuza vifaa elektroniki kushika moto huku maafisa wa zima moto wakishindwa kuudhibiti moto huo.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment