Share

Serikali ya kaunti ya Kilifi pia inahusika katika mzozo huo wa eneo la biashara

Share this:

Mzozo unanukia baina ya serikali ya kaunti,wawekezaji wa hoteli za kitalii na wahudumu wa fuo za bahari katika eneo la Bofa kaunti ya Kilifi kuhusu ujenzi wa vibanda vya biashara katika fuo hizo. Ni hatua ambayo imevutia hisia kali miongoni mwa viongozi wa kaunti hiyo ambao kwa sasa wanatishia kuwasilisha mswaada bungeni Kilifi kubadilisha eneo hilo kuwa la biashara za kawaida badala ya hoteli pekee na makaazi ya kibinafsi.

Leave a Comment