Share

Serikali ina deni ya 5M ya kuhifadhi maafisa ya polisi Malindi

Share this:

Serikali kupitia kwa Idara ya polisi hapa nchini sasa inatakiwa kulipa deni la Zaidi ya shilingi milioni tano kama malimbikizi ya kodi ya nyumba zilizokodiwa na idara hiyo kuhifadhi maafisa wa polisi wa kitengo cha utalii mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi. Katika taarifa yake kwa kituo hicho Ever Kimeo ambaye ni mmiliki wa jumba ambalo limesalia kuwa mahame kwa hivi sasa amesema kuwa licha ya kutimiza kila sharti kuhusu malipo hayo hajawahi kupokea malipo tangu maafisa hao kuhama miezi kadhaa iliyopita

Leave a Comment