Share

Sergeant Kipyegon’s brother speaks on the late AP officer’s death

Share this:

Maafisa kutoka katika kitengo cha DCI leo wameendeleza  uchunguzi zaidi katika makaazi ya mwendazake , sagenti wa polisi Kipyegon Kinei aliyekuwa akifanya kazi katika afisi ya naibu wa rais  aliyepatikana amekufa hapo jana katika mtaa wa Imara Daima,Nairobi.
 Haya yanawadia huku familia ya mwendazake wakipinga vikali uwezekana kuwa , Kenei alijipiga risasi .

Leave a Comment