Share

Sensa bila ulevi : Matiang’i asema baa kufungwa kwa siku 2

Share this:

Waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiang’i, ametoa  amri kuwa  maeneo yote ya burudani yafungwe mnamo tarehe  24 na tarehe 25 Agosti kuanzia saa kumi na moja jioni ili wakenya wapate nafsi ya kushiriki kwenye shughuli ya sensa . 
Matiang’i ambaye alikuwa akizungumza katika  kaunti ya Embu, amesisitiza kuwa hakutakuwa na likizo kwani shughuli yenyewe inafanyika usiku . Frankline Macharia anasimulia.

Leave a Comment