Share

Seneti yapendekeza marekebisho kwa katiba kuwaondolea maspika wa kaunti masaibu

Share this:

Kamati ya bunge la senate kuhusu ugatuzi imependekeza kuingizwa kipengee kwenye katiba kitakachowapa maspika wa mabunge ya kaunti fursa ya kuchunguzwa kikamilifu na bunge la senate iwapo wawakilishi wa wadi wanawabandua.
Mwenyekiti John Kinyua anasema pia mswada uandaliwe wa kuhakikisha fedha zinazotumwa kwenye kaunti za humu nchini kwa mawaziri wa fedha badala yake zitumwe kwa karani wa bunge la kaunti ili kuzuia matumizi mabaya kutoka kwa magavana.

Leave a Comment