Share

| SEMA NA CITIZEN | Wazee ni watu muhimu, hawafai kupuuzwa

Share this:

Ibrahim Njue: Wazee ni watu muhimu sana. Tusipuuze wazee kwani hao ndio wanaoweza kutuonyesha mienendo mazuri.
Ila wazee wanafaa kuheshimu matakwa na kilio cha vijana kwani asilimia ya vijana ndio iliyoko juu zaidi katika nchi hii ya Kenya #SemaNaCitizen

Leave a Comment