Share

| SEMA NA CITIZEN | Magenge ya wahuni | Part 5

Share this:

Maafisa wa polisi wanapekua nyumba yake Ali Punjani anayedaiwa kuhusika na ulanguzi wa dawa za kulevya. Msako huo ulioanza saa mbili zilizopita unaendelea huko nyaliwakati ambapo punjani anadaiwa kuwa nchini India kwa matibabu

Leave a Comment