Share

Sarakasi za Sonko

Share this:

Kizaazaa kilihushudiwa nje ya makao makuu ya tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC huku polisi wa kukabiliana na ghasia wakilazimika kuwatawanya wafuasi wa gavana wa Nairobi Mike Sonko kwa kutumia vitoa machozi alipokuwa alipofika kuandikisha taarifa. Sonko alitakiwa kuandikisha taarifa kuhusu madai ya habari za ghushi kumuhusu alipotaka kuwania kiti cha ugavana mwaka 2017. Hata hivyo, Sonko anakana kuwa hakuhukumiwa miaka ishirini iliyopita na kuwa kinachoshuhudiwa sasa ni njama ya kumng’atua mamlakani kama gavana wa Nairobi.

Leave a Comment