Share

Sarah Cohen, mke wa marehemu Tob Cohen aachiliwa kwa dhamana

Share this:

Sarah Wairimu , anayetuhumiwa kwa mauaji ya mumewe tob cohen atajua hatma yake hii leo.wakili wake Phillip Murgor anaitaka mahakama kumwachilia kwa dhamana baada ya kuzuiliwa kwa zaidi ya siku arobaini.

Leave a Comment