Share

Samuel Juma afanya kazi ya ukarani japo hana mikono

Share this:

Kazi ya ukarani inahitaji matumizi ya mikono ili kufanikisha shughuli. Hata hivyo samuel juma anayetoka kijiji cha simatwet kaunti ya trans nzoia anafanya kazi hiyo licha ya kutokuwa na mikono. Na kama anavyoarifu collins shitiabayi, samuel ni mpiga chapa na pia huunda kompyuta.

Leave a Comment