Share

Sammy Ngara askari mwenye utu

Share this:

Kwa baadhi ya waKenya maafisa wa polisi nchini ni watu wasiokuwa na utu huku wengi wao wakihusishwa na visa vya ufisadi ambavyo vimepelekea imani baina ya wananchi na polisi kupunguwa.
Koplo Sammy Ngara amejitolea kubadili dhana hiyo na kuboresha uhusiano baina ya polisi na wananchi kuwai kujitolea kwa hali na mali kuonyesha kuwa maafisa wa polisi ni binadamu wenye utu.
Yeye ni mwimbaji wa nyimbo za injili kando na kuwa mwanzilishi wa miradi inayoimarisha maisha ya watu katika jamii. Mwanahabari  Laureen Luvembe alipata fursa ya kuzungumza naye na kutuandalia taarifa hii.

Leave a Comment