Share

SAKATA YA ARROR NA KIMWARER: Mabwawa yalifaa kujengwa miaka 4 iliyopita

Share this:

Sakata ya ujenzi wa mabwawa ya Kimwarer na Arror katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, imeendelea kuzua tumbo joto nchini ikizingatiwa imeshuhudia viongozi wakirushiana cheche za maneno.
Katika taarifa hii mwanahabari wetu Angela Cheror, anatupa taswira kamili kuhusiana na sakata hii inayodaiwa kupelekea mabilioni kupotea.

Leave a Comment