Share

Safari za kina mama kutafuta huduma za kujifungua Likoni

Share this:

Kati ya watoto elfu moja wanaozaliwa, 39 hukosa kuona dunia, na katika eneo la Pwani pekee, watoto 44 wakifariki punde tu wanaponazaliwa. Takwimu hizi za shirika la takwimu za afya zinatuelekeza katika kaunti ya Mombasa ambako kina mama wanaotafuta matibabu katika hospitali ya Mrima eneobunge la Likoni wanahatarisha maisha yao kutokana na utumizi wa feri.

Leave a Comment