Share

Safari ya mwisho ya Anjlee Gadhvi

Share this:

Familia,jamaa na marafiki wa mtangazaji wa runinga ya K24 Anjilee Gadhvi, aliyeaga dunia hapo jana baada ya kukabiliana na saratani kwa muda wa miaka saba, walihudhuria maombi ya mwisho katika hekaku la kihindi la Shree Lohana Majan Mandal jijini Nairobi kabla ya mwili wake kuchomwa  katika tanuri la Kariokor.

Leave a Comment