Share

Ruto na Raila wapingana kuhusu mwafaka wa Uhuru-Raila

Share this:

Naibu wa Rais William Ruto ametofautiana na kinara wa nasa raila odinga kuhusu mwafaka baina raila na rais uhuru Kenyatta. Raila akidai kuwa Ruto hakuhusishwa kamwe ili pasiwepo na upenyezo wa siasa za 2022, huku Ruto akidai kuwa alishauriana na uhuru kabla ya kuafikiana na Raila.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment