Share

Ruto awasuta wanaosema hatakuwa debeni 2022

Share this:

Naibu wa rais Wiliam Ruto amepuuzilia mbali matamshi ya katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli, kwamba jina lake halitakuwa katika karatasi ya kupigia kura mwaka wa 2022, akisema matamshi hayo ni ya kupotosha na ya kichochezi.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment