Share

Ruto avunja kimya kuhusu siasa za 2022

Share this:

Naibu rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusiana na siasa ambazo zimekuwa zikienezwa na baadhi ya viongozi, akishikilia kuwa serikali itawachukulia hatua wanasiasa ambao wanaendeleza siasa za chuki na ukabila.
Akizungumza nyumbani kwake  Sugoi kaunti ya Uasin Gishu, katika maombi yaliyoandaliwa na wachungaji wa makanisa mbali mbali, Ruto alisema umoja wa nchi utatiliwa maanani bila kujali wanaoshinda au kushindwa uchaguzini.

Leave a Comment