Share

Ruto amtetea Aisha Jumwa, adai uongozi wa ODM una magumegume

Share this:

Naibu wa rais William Ruto amesisitiza kuwa vita dhidi ya ufisadi visitumike kukabili watu fulani na miradi fulani kwa sababu za kisiasa. Akiwa Malindi, Ruto amesema vita hivyo vinaweza kuwa na ufanisi kupitia ukweli na uhakika.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Leave a Comment