Share

Rumba La Siasa : Je, Rais Kenyatta atamudu kutetea alama kielelezo dhidi ya ufisadi?

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta ameahidi kukabiliana na ufisadi kwenye kipindi hiki chake cha pili na cha mwisho uongozini huku wengi wakisubiri kuona jinsi atakavyoafikia hilo ili atakapoondoka afisini awache alama ya kielelezo chema.
Kwenye kipindi chake cha kwanza rais Kenyatta alikabiliwa na wakati mgumu kuhusiana na suala zima la kupambana na ufisadi. Awamu hii macho yote yanaelekezwa kwake kuhusiana na uwezekano wa kuchukua hatua nyingine kuondoa madoa ya wafisadi.

Leave a Comment