Share

Rotich na aliyekuwa waziri wa kilimo ni wa kulaimiwa katika sakata ya ulanguzi wa sukari – Wabunge

Share this:

Mbunge wa Lugari Ayub Savula na mwenzake wa Matungu Justus Murunga wamedai kuwa waziri wa zamani wa kilimo Willy Bett pamoja na waziri wa fedha Henry Rotich walihusika katika sakata ya sukari iliyokuba nchi hii. Viongozi hao waliwasilisha stakabadhi kwa wanahabari katika majengo ya bunge ambazo zinaonyesha mawasiliano kati ya wizara hizo mbili pamoja na KRA kuhusu uingizaji wa sukari mwaka uliopita.

Leave a Comment