Share

Rekodi za Uogeleaji: Sera Makena aandikisha rekodi, Neo Olengo pia avunja rekodi

Share this:

Sera Makena Mawira Na Neo Olengo Wameandikisha Rekodi Mpya Kwenye Mashindano Ya Kuogelea Kiwango Cha Pili Ambayo Yamekamilika Hii Leo Jijini Nairobi. Mawira Mwenye Umri Wa Miaka 12 Amesajili Muda Wa Dakika 23 Kwenye Shindano La Mita 1500 Mtindo Huru Kwa Waogeleaji Wasiozidi Umri Wa Mika 12 Huku Neo Olengo Mwenye Umri Wa Miaka Tisa Akiweka Rekodi Mpya Ya Dakika Moja Na Sekunde 29 Shindano La Mita Mia Moja. Klabu Ya Otters Imeibuka Kidedea Baada Ya Wavulana Kunyakua Medali 55 Huku Wasichana Wakinyakua Medali 52.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment