Share

Rais Uhuru Kenyatta awaambia viongozi wanaohusishwa na ufisadi

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta sasa ametaka kila mmoja anayehusishwa na ufisadi kubeba msalaba wake, matamshi yanayojiri siku mbili baada ya kukamatwa kwa gavana wa Nairobi Mike Sonko. Akizungumza katika ibada ya jumapili kanisani Ruiru, Rais amesema serikali haitamsaza yeyote katika juhudi zake za kutwaa mali ya umma iliyotwaliwa kwenye visa vya ufisadi

Leave a Comment