Share

Rais Pombe Magufuli yuko buheri wa afya

Share this:

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amejitokeza hadharani siku moja baada ya taarifa kadhaa kusambaa kuhusu hali yake ya kiafya. Magufuli alihudhuria hafla ya kuwaapisha viongozi katika ikulu yake jijini Dar Es Salaam, hafla ambayo imefanyika siku ya Jumapili. Na kama anavyotuarifu Gatete Njoroge maelfu ya Watanzania walitazama hafla hiyo iliyopeperushwa moja kwa moja mitandaoni.

Leave a Comment