Share

Rais Kenyatta kufungua jengo la bunge la kaunti ya Nakuru

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta leo yuko katika kaunti ya Nakuru ambapo atafungua rasmi jengo la bunge la kaunti hiyo ambalo limefanyiwa ukarabati. Rais Kenyatta anatazamiwa kuandaa mashauri na wawakilishi wadi pamoja na viongozi wengine katika kaunti hiyo

Leave a Comment