Share

Rais Kenyatta amuidhinisha Mariga kuwania Kibra

Share this:

Kuidhinishwa kwa Mcdonald Mariga na rais Uhuru Kenyatta hapo jana kumeonekana kutoa mwelekeo mpya wa kampeni za uchaguzi mdogo wa kibra huku chama cha Jubilee kikimulikwa kwa karibu sawia na mkondo wa mwamkuano kati ya rais Uhuru Kenyatta na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga.
Baadhi ya viongozi wa ODM wakidai kuwa msukumo wa rais unadhihirisha kuwa “ Hand Shake” inasuasua huku kukiwa na baadhi ya wana jubilee wanaosisitiza kuwa bado watamuunga mkono mgombeaji wa ODM Imran Benard Okoth.

Leave a Comment