Share

Rais Kenyatta ahudhuria kongamano la ANC, Afrika kusini

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta amehudhuria maadhimisho ya miaka mia moja na sita ya umoja wa wananchi wa Afrika Kusini akiwa katika ziara ya siku tatu nchini humo.
Rais ameandamana na katibu mkuu wa chama cha Jubilee Rapahel Tuju pamoja na naibu mwenyekiti David Murathe.

Leave a Comment