Share

Rais awasuta wananasiasa wanaopinga ripoti ya BBI

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine amewafokea kwa hamaki wabunge na viongozi wanaoegemea mrengo wa naibu wake William Ruto, kwa kile anachodai ni kuchochea siasa za uhasama kuhusiana na mchakato wa maridhiano(BBI). Kenyatta amewataka wananchi kujisomea ripoti ya jopokazi la maridhiano, kuelewa yaliyomo na kutoruhusu wanasiasa kuwapotosha, ili kufanikisha mahesabu ya urithi wa ikulu mwaka 2022.

Leave a Comment