Share

Rais asisitiza hakuna pesa zaidi kuongezea mgao wa kaunti

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta anasisitiza hazina ya kitaifa haina pesa zaidi kuongezea mgao wa serikali za kaunti kama inavyoshinikizwa na magavana na maseneta. Msimamo wa rais ukijiri huku mgomo katika kaunti 6 ukiingia siku ya pili kutokana na kucheleweshwa kwa mishahara kama anavyotuarifu Francis Gachuri.

Leave a Comment