Share

Raila na Uhuru Kenyatta wapanga kwenda China

Share this:

Kinara wa ODM raila Odinga amefichua kuwa ataandamana na rais uhuru kenyatta kwenda nchini China wiki ijayo kutafuta fedha za kukamilisha mradi wa reli ya kisasa SGR, kutoka Naivasha hadi Kisumu. kulingana na Odinga safari ya Beijing itafungua mlango wa kupata mkopo wa shilingi bilioni 368 zitakazotumiwa kufufua bandari ya Kisumu ambayo imefifia kwa sababu ya ukosefu wa reli. Kwa upande mwingine wandani wa naibu wa rais William Ruto wamezua maswali mengi ni kwanini makamishana wanaopaswa kuhakikisha usalama wake hawakumpokea alipozuru Nyeri siku ya Alhamisi.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment