Share

Raila na Sossion wataka mtihani wa KCSE usahihishwe upya

Share this:

kiongozi wa upinzani Raila Odinga anaitaka serikali kubuni tume maalum itakayochunguza matokeo ya mtihani wa KCSE ya mwaka 2016. Raila ameelezea kutoridhishwa kwake na matokeo hayo ambayo yanaashiria kuwa takriban asilimia 85 ya wanafunzi waliofanya mtihani huo hawatapata nafasi ya kujiunga na vyuo vikuu. Ni msimamo ambao unashikiliwa na muungano wa waalimu nchini KNUT ambao pia unataka KCSE isahihishwe tena.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Home


https://twitter.com/citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment