Share

Rai na siha : Changamoto za msukumo wa damu

Share this:

Je, umewahi chukua vipimo vya msukumo wa damu vya mwili wako?
Imebainika kwamba, asilimia 50 ya watu humu nchini hawajui iwapo wanaugua shinikizo la damu au la.
Kisa na maana, hawajawahi pimwa kujua hali yao ya msukumo wa damu.
Hii leo kwenye makala ya rai na siha, Dennis Matara alikutana na mhudumu mmoja wa afya kutoka kahawa wendani zablon orina ambaye baada ya kumpoteza nduguye kwa ugonjwa wa shinikizo la damu, aliamua kujitoleea kuwaelimisha majirani zake na wapita njia kuhusu ugonjwa huo wa shinikizo la damu mwilini.

Leave a Comment