Share

Rai Mwilini : Ng’amua ukweli kuhusu ugonjwa wa mshtuko wa moyo

Share this:

Bila shaka baada ya kifo cha aliyekuwa waziri wa usalama Joseph Nkaissery kilichowashtua wengi, ikidhihirika wazi siku moja kabla ya kifo chake alikuwa buheri wa afya.
Na ilipobainika kuwa aliaga kwa ajili ya mshtuko wa moyo, wakenya walikuwa na maswali chungu mzima kuhusu hali hiyo na ndiyo maana mwanahabari wetu Grace Kuria anatueleza zaidi  katika makala ya wiki hii ya Rai Mwilini.

Leave a Comment