Share

Purukushani yashuhudiwa jijini baina ya askari na wahudumu wa bodaboda

Share this:

Hali ya mshike mshike iligubika jiji la Nairobi pale polisi walipoanzisha operesheni ya kuwasaka wahudumu wa boda boda waliokuwa wakikaidi amri ya kutoingia katikati mwa jiji.
Na wafanyikazi wa hoteli ya laico waligoma kufanya kazi hadi viongozi wa wafanyikazi watakaporeeshwa kazini.

Leave a Comment