Share

Punjani awindwa : Mkewe akamatwa kwenye msako

Share this:

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Mombasa hii Jumatatu wamewatia mbaroni watu watatu wakati wa oparesheni kuhusu vita dhidi ya mihadarati kwenye boma la mfanyibiashara tajika Ali Punjani. Miongoni mwa waliokamatwa ni mkewe Punjani Karki Sushmija raia wawili kutoka Nepal huku ikibainika kwamba Punjani angali anapokea matibabu ya moyo katika hospitali moja nchini India.

Leave a Comment