Share

Punguza mizigo Kilifi

Share this:

Mswada wa punguza mizigo umepata pigo jengine baada ya Bunge la kaunti ya Kilifi kuungana na mabunge mengine nchini na kuufutilia mbali mswada huo. Katika taarifa kwa wanahabariri baada ya hatua hiyo, spika wa Bunge la Kilifi Jimmy Kahindi amesisitiza kuwa walichukua hatua baada ya kuzingatia maoni ya wananchi kuhusu mswada wenyewe.

Leave a Comment