Share

Polisi wapewa siku nane kumchunguza Koech kwa kumshambulia mpenziwe kwa kisu

Share this:

Mahakama mjini Kilifi imewapa maafisa wa polisi siku nane kukamilisha uchunguzi wa kesi ambapo mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani alishambuliwa kwa kisu.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment