Share

Polisi wapewa saa 24 kushtaki watu waliopatikana nyumbani kwa Punjani

Share this:

Maafisa wa polisi wamepewa muda wa saa 24 kuwafungulia mashtaka washukiwa waliopatikana ndani ya nyumba ya mfanyibiasha bwenyenye Ali Punjani huko Mombasa akiwemo mkewe na watu wengine wawili la sivyo mahakama iwaachilie huru.

Leave a Comment