Share

Polisi wanasaka magari 300 wanayosema yamesajiliwa kinyume cha sheria

Share this:

Magari yapatao mia nne nchini yako mikononi mwa wakenya kinyume na sheria. Maafisa wa polisi wameanzisha operesheni ya kuyatafuta magari hayo yaliyosajiliwa kimagendo ili kukwepa ulipaji ushuru. Kama gatete njoroge anavyoarifu, huenda magari hayo yako mikononi mwa mkenya wa wasiokuwa na ufahamu

Leave a Comment