Share

Polisi wanachunguza mauaji ya kikatili ya watu 5, Kericho

Share this:

Watu watano wamepoteza maisha yao katika visa tofauti vya uhuni kaunti ya Kericho.
Watatu waliuawa katika kata ya Ainamoi, ambapo mke alinajisiwa pamoja na mtoto wake kabla ya kuuawa, na hatimaye kumuua baba yao.
Tukio la pili kijana wa miaka 25 alimuua mkewe kwa silaha butu, na hatimaye kujitia kitanzi.

Leave a Comment