Share

Polisi walazimika kulipua vitoa machozi na kupiga risasi hewani Mulot

Share this:

Askari walilazimika kulipua vitoa machozi na kupiga risasi hewani ili kutibua mkutano wa BBI waliodai kuwa haramu katika eneo la Mulot Narok kusini.

Leave a Comment