Share

Polisi wakuu wahamishwa Pwani

Share this:

Maafisa wa usalama 122 wa ngazi za chini kote nchini wamepokea Uhamisho katika mageuzi yanayolenga kuboresha usalama nchini. Mjini Mombasa wakuu wa Usalama ni baadhi ya wale waliopokea uhamisho kuhusiana na shambulizi la Bamburi majuma mawili yaliopita

Leave a Comment