Share

Polisi kutwa nzima wapekua nyumbani kwa bwanyenye Ali Punjani

Share this:

Maafisa wa polisi kwa siku nzima wamekuwa wakifanya msako katika boma la mfanyibiasha bwenyenye mjini Mombasa Ali Punjani. Raia watatu wa kigeni walipatikana katika msako huo ambao polisi wanasema unalenga kukabiliana na mihadarati hasaa maeneo ya Pwani. haya yanajiri huku mahakama mjini mombasa ikimwachilia mwakilishi wa wadi ya bofu ahmed salama kwa ukosefu wa ushahidi.

Leave a Comment