Share

Polisi katika eneo la Bondo wachunguza Kifo cha Profesa Gilbert Ogutu

Share this:

Polisi Katika Eneo La Bondo Wanachunguza Kifo Cha Profesa Gilbert Ogutu Ambaye Alikuwa Mhadhiri Wa Maswala Ya Historia Katika Chuo Kikuu Cha Nairobi. Mhadhiri Huyo Mwenye Umri Wa Miaka 78 Alipatikana Akiwa Amekufa Nyumbani Kwake Katika Kile Kinachokisiwa Kuwa Ni Kujitia Kitanzi. Mwili Wake Uligunduliwa Ukiwa Umepiga Magoti Kando Ya Kitanda Chake Huku Kanga Ikiwa Shingoni.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment