Share

Polisi aliyefutwa kazi kinyume na sheria alia mahakamani

Share this:

Si kawaida kwa afisa wa polisi kuandika malalamiko yake katika mitandao ya kijamii. Apollo Kioria aliandika masaibu yake kwenye mtandao na kuelekea mahakamani kutafuta haki kwa madai kuwa alifutwa kazi kinyume na sheria. Hata hivyo, safari yake ya kutafuta haki imekuwa ya machozi mengi kama anavyoarifu Sophy Roberts

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment