Share

Pilkapilka za wenye matatu

Share this:

Wahudumu wa matatu wamekuwa mbioni kuyafanyia magari yao marekebisho kuambatana na ‘Sheria za Michuki’ huku makataa waliyopewa na serikali yakisalia na siku tatu pekee.
Hata hivyo baadhi wamesusia marekebisho hayo wakidai ni mbinu ya kukandamiza biashara yao.
Mwanahabari wetu Franklin Wallah alisema na baadhi ya wahudumu hao wa matatu .

Leave a Comment